Barua iliyoandikwa mwaka 1812 na Napoleon Bonaparte ambapo aliapa kulipua Kremlin imeuzwa kwa mnada kwa euro 187,000.
Iliyoandikwa kwa msimbo wakati wa uvamizi wake nchini Urusi inatoa ufahamu juu ya mtazamo wa akili wa Mfalme wa Ufaransa wakati kampeni yake ilipoanza kufumuliwa. Ilinunuliwa na Jumba la Makumbusho la Barua na Maandishi huko Paris.
(Kwa hadithi asili, tafadhali bofya)
Euro Habari



