Mkuu wa zamani wa jeshi alizuiliwa kwa mapinduzi ya 1997 nchini Uturuki
Mkuu wa zamani wa jeshi la Uturuki, Jenerali Ismail Hakki Karadayi, amezuiliwa kutokana na uvamizi wa kijeshi ulioiondoa madarakani serikali inayounga mkono Uislamu mwaka 1997. Jenerali Karadayi alizuiliwa nyumbani kwake ...






