Waziri Mkuu wa Uturuki Erdoğan ataja kuwa ufisadi ni 'jaribio la mauaji'
Waziri Mkuu wa Uturuki Recep Tayyip Erdoğan ameutaja uchunguzi wa ufisadi unaoendelea kama "jaribio la mauaji lililofichwa kwenye furushi la ufisadi," wakati wa ujumbe kwa watu uliotangazwa kwenye televisheni kwenye ...












