Waziri Mkuu wa Uturuki awatenga waandamanaji wa mazingira kutoka kwa 'wana itikadi kali'
Waziri Mkuu wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan alisema siku ya Alhamisi aliwatenga wale 'waandamanaji wa mazingira' katika Hifadhi ya Taksim Gezi katikati mwa Istanbul kutoka kwa 'wana itikadi kali' ambao walijiegesha katika vitendo vya kigaidi ...










