ICC yakabiliana na Marekani kuhusiana na uchunguzi wa uhalifu wa kivita wa Afghanistan
Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu inaonekana kuwa tayari kufungua uchunguzi rasmi kuhusu uhalifu wa kivita unaodaiwa kufanywa na wanajeshi wa Marekani na maafisa wa CIA nchini Afghanistan, licha ya tishio la ...



