Kuibuka tena kwa chuki dhidi ya Uislamu huko Ulaya
Serikali za sasa za Ulaya na wanasiasa ambao wanakabiliwa na matatizo mengi ya kisiasa, kijamii na kiuchumi hujaribu kutumia majimbo, watu na ustaarabu mwingine kama chombo cha maslahi yao wenyewe. Wao...











