Maelfu ya watu waandamana dhidi ya Israel mjini Istanbul
Kundi lilikusanyika mbele ya Msikiti wa Fatih na kupiga nara dhidi ya Israel kwa kusema "Muuaji Israel, Toka Palestina." Maelfu ya watu walipinga mashambulizi ya Israel dhidi ya Gaza huko Istanbul. ...












