Je, Waislamu ni Wayahudi wapya?
Inazidi kuonekana hivyo hapa Uingereza. Wiki iliyopita, gazeti la The Sun lilichapisha kichwa cha habari cha ukurasa wa mbele kikidai "Mmoja kati ya Waislamu Watano wa Uingereza Anawahurumia Wanajihadi." Kando na kichwa cha habari kilikuwa...




