Kesi ya Yevgeny Makarov inafichua nini kuhusu mateso katika jela za Urusi?
Yevgeny Makarov, mfungwa wa Urusi anayedaiwa kuteswa na walinzi katika kesi ambayo imeangazia unyanyasaji katika jela za nchi hiyo, ameachiliwa huru. Kijana huyo alikumbatiwa na ...



