Je, Mwanamfalme wa Saudia Mohammad bin Salman atahudhuria Mkutano wa Viongozi wa G-20 nchini Argentina?
Mwanamfalme wa Saudia Mohammad bin Salman anapanga kuhudhuria Mkutano wa G-20 wiki ijayo huko Buenos Aires, Argentina. Huu utakuwa wakati wa 'ukweli' na 'kuthubutu' kwa ulimwengu ...









