Demokrasia ya Mashariki ya Kati isivurugwe
Rais wa Uturuki Abdullah Gul awataka viongozi wa kanda kutafuta suluhu la matatizo ya kikanda. Mchakato wa kidemokrasia katika Mashariki ya Kati na Afrika Kaskazini unapaswa kuendelea bila kuingiliwa, Rais wa Uturuki Abdullah Gul alisema Jumatano. Gul alifanya ...












