Makumi ya watu waliuawa katika mashambulizi ya anga na mapigano huko Hodeidah nchini Yemen
Mapigano mapya na mashambulizi ya anga yamesababisha vifo vya makumi ya waasi karibu na mji wa Hodeidah wa Bahari Nyekundu nchini Yemen, duru za hospitali zimesema, huku mjumbe wa Umoja wa Mataifa akiendeleza juhudi za kutafuta amani ...



