Kwanini Vladimir Putin amsifu rais wa Uturuki
Habari mbili zenye mada tofauti kabisa zilionekana kwenye vyombo vya habari vya Magharibi wiki iliyopita. Hadithi ya kwanza ilikuwa juu ya Uturuki kudaiwa kuwachokoza washirika wake wa NATO kwa kujaribu ulinzi wa anga wa S-400 ...




