Wale wanaohusika na ufisadi 'watawajibishwa,' Waziri Mkuu Erdoğan aambia umati uliokusanyika kuonyesha uungwaji mkono.
Mamia ya watu walikusanyika katika uwanja wa ndege wa Esenboğa mjini Ankara Desemba 24 kumkaribisha Waziri Mkuu Recep Tayyip Erdoğan anaporejea kutoka Pakistan katika kuonyesha uungwaji mkono huku kukiwa na uchunguzi wa ufisadi ambao haujawahi kushuhudiwa ...












