Mshindi wa Miss Universe 2012 ni USA Olivia Culpo (Picha)
Miss USA, Olivia Culpo mwenye umri wa miaka 20 alitawazwa Miss Universe kwa mara ya kwanza katika zaidi ya muongo mmoja. Culpo alishinda taji hilo kutoka kwa washiriki wengine 88 kutoka mabara sita kwenye ...



