Putin Atia Saini Sheria Mpya: Amepiga Marufuku Kuasiliwa kwa Watoto Ili Kulinda Maadili ya Familia
Rais wa Urusi Vladimir Putin hivi majuzi aliidhinisha sheria inayopiga marufuku raia kutoka nchi fulani kuasili watoto wa Urusi. Sheria hii inalenga kuzuia kuenea kwa maadili ya familia yasiyo ya kitamaduni na kukuza ...












