Erdogan aita uungaji mkono wa uhuru wa Wakurdi "uhaini"
Rais Recep Tayyip Erdogan amekataa wito wa hivi majuzi wa Selahattin Demirtas, mwanasiasa wa Kikurdi na mkuu mwenza wa Peoples' Democratic Party (HDP), wa kujitawala kwa Wakurdi. Bw Erdogan aliandika ...









