CPJ yashutumu kushughulikiwa kisheria kwa waandishi nchini Uturuki
Hürriyet Daily News Uchambuzi wa hivi majuzi uliochapishwa kwenye tovuti ya Kamati ya Kulinda Waandishi wa Habari (CPJ) unakashifu jinsi wanahabari wanavyotendewa nchini Uturuki, ukisema kuwa waandishi wengi wa habari hasa Wakurdi ...



