Uturuki na Misri zalaani utawala wa Syria na kuahidi kuunga mkono Palestina
Waziri Mkuu wa Uturuki na rais mpya wa Misri watoa wito kwa Urusi, China na Iran kuacha kuunga mkono utawala wa Assad; Erdogan anasema Uturuki iliazimia kuzungumza dhidi ya 'ugaidi wa taifa' wa Israel. Uturuki na ...






