Uturuki yajibu kwa ukali mauaji ya Tremseh na wanajeshi wa Assad
Mauaji yaliyofanywa na wanajeshi wa ardhini wa Syria siku ya Alhamisi, wakiwa na mfumo wa silaha nzito dhidi ya kijiji cha Tremseh, yalizua hisia kali nchini Uturuki siku ya Ijumaa. Ayhan Sefer Üstün, mkuu ...











