Timu ya operesheni maalum ya Uturuki 'yawanyakua' mahujaji wa Lebanon ndani ya Syria
Kikosi cha operesheni maalum kutoka Shirika la Kitaifa la Ujasusi la Uturuki (MİT) limefanya operesheni ya kuwaokoa mahujaji waliotekwa nyara katikati ya mapigano kaskazini mwa Syria. Waasi wa Syria ambao...












