Morsi aliyeondolewa madarakani anakataa mamlaka ya mahakama ya Misri
Mohamed Morsi, aliyepinduliwa kama rais wa Misri mwezi Julai, afikishwa mahakamani kwa mara ya kwanza, na kukanusha uhalali wa wanaomfungulia mashtaka. Rais wa Misri aliyeondolewa madarakani, Mohamed Morsi alimpiga risasi ...












