Mgogoro wa Misri: Morsi aamuru jeshi kuweka utulivu
Rais Morsi wa Misri amewaamuru wanajeshi kudumisha usalama na kulinda taasisi za serikali katika kipindi hiki cha kuelekea kura ya maoni kuhusu katiba. Mwandishi wa BBC Jon Leyne akiwa Cairo anasema ...






